MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA YA LEO JUMATATU JANUARI 13, 2020
Asalaam Aleykum Mwananzengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaiita Bandari ya Salama au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Januari 13 , 2020. Leo ni Jumatatu siku ya kazi ambayo kwa uhakika ni ya pili kwa mwaka huu mpya wa 2020! Nakutakia kazi njema!
Post a Comment