Ads

MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA  YA LEO JUMAMOSI JANUARI 25, 2020




Asalaam Aleykum Mwananzengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaiita Bandari ya Salama au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Januari 25, 2020. Leo ni Jumamosi ambayo kwa uhakika ni ya  nne kwa mwaka mpya wa 2020! Nakutakia Wikendi Njema!









No comments