Ads

MATUKIO MUHIMU KATIKA PICHA KWA MWAKA 2016 -3


KUTAMBULISHWA MTENDAJI MKUU MPYA  WA TRL KARAKANA  KUU YA MOROGORO  KATIKA PICHA FEBRUARI 6, 2016


Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na mawasiliano Profesa Makame Mnyaa Mbarawa akiwahutubia Wanareli wa Karakana Kuu ya Morogoro katika mkutano maalum wa kumtambulisha Mtendaji Mkuu mpya wa TRL Nd Masanja Kadogosa

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano  Mhandisi  Edwin Ngonyani akiwasalimia  Wanareli wa Karakana Kuu ya Morogoro katika mkutano maalum wa kumtambulisha Mtendaji Mkuu mpya wa TRL Nd Masanja Kadogosa

Katibu Mkuu Uchukuzi -Wizara ya  Ujenzi, Uchukuzi na mawasiliano  Dk Leonard Chamuriho akimtambulisha  Mtendaji Mkuu mpya wa TRL Nd Masanja Kadogosa kwa Wanareli wa  Karakana Kuu ya Morogoro katika mkutano maalum 

Mtendaji Mkuu mpya wa TRL Nd Masanja Kadogosa akiwasalimia Wanareli wa Karakana Kuu ya Morogoro

Wanareli wa Karakana Kuu ya Morogoro pichani wakifuatilia kwa makini mawaidha ya viongozi wa kitaifa kutoka Wizarani kuhusu mabadiliko ya Menejimenti ya TRL kwa ujumla.

No comments