Ads

MATUKIO MUHIMU KATIKA PICHA KWA MWAKA WA 2016 -2


KUTAMBULISHWA MTENDAJI MKUU MPYA  WA TRL KARAKANA  YA DAR KATIKA PICHA



Katibu Mkuu  Uchukuzi -Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dk Leonard Chamuriho akizungumza na Wanareli kumtambulisha Mtendaji mpya wa TRL Nd Masanja Kadogosa Februari 4, 2016 katika karakana ya Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa TRL akiwasalimia Wanareli katika Karakana ya Dar mara baada ya kutambulishwa rasmi na Katibu Mkuu Uchukuzi Dk Leonard Chamuriho

Kiongozi maarufu wa chama cha Wafanyakazi wa Reli nchini Trawu Nd Sheikh Shughuli akitoa shukrani kwa niaba ya Wanareli kufuatia  mabadiliko ya Menejimenti TRL yaliyofanywa na Serikali kama walivyoomba kwa muda mrefu!





No comments