Ads

MAONESHO YA 41 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR ES SALAAM YAPAMBA MOTO!

Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yapamba moto mabanda pacha ya TRL/Rahco yawa kivutio hasa kwa mfano wa treni ya mwendo kasi ulioko katika mabanda hayo! Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Nd Masanja kadogosa atembelea mabanda hayo leo Juni 30, 2017 na kushiriki kutoa maelezo ya kina kwa wageni wanaotembelea mabanda hayo kuhsu Mradi wa Ujenzi wa Reli kisasa ya standard gauge na Shughuliza Uendeshaji wa TRL ..habari zaidi katika picha......!

























No comments