Ads

MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA  YA LEO JUMATANO JANUARI 29, 2020




Asalaam Aleykum Mwananzengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaiita Bandari ya Salama au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Januari 29, 2020. Leo ni Jumatano ambayo kwa uhakika ni ya  tano na ya mwisho kwa mwezi huu wa Januari kwa mwaka mpya wa 2020! Nakutakia Jumatano Njema!






 


No comments