MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA YA LEO JUMANNE JANUARI 28, 2020
Asalaam Aleykum Mwananzengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaiita Bandari ya Salama au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Januari 28, 2020. Leo ni Jumanne ambayo kwa uhakika ni ya nne na ya mwisho kwa mwezi huu wa Januari kwa mwaka mpya wa 2020! Nakutakia Jumanne Njema!
Post a Comment