MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA YA LEO IJUMAA JANUARI 10, 2020
Asalaam Aleykum Mwananzengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaiita Bandari ya Salama au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Januari 10 , 2020. Leo ni Ijumaa ya pili ya mwaka mpya wa 2020! Nakutakia Ijumaa Kareem!
Post a Comment