Ads

TANZANIAN SELECTED PRINT MEDIA PREVIEW OF JULY  26, 2020(MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA  YA LEO JUMAPILI JULAI 26, 2020).  



⛑Hi Friend ! PROTECT YOURSELF AGAINST COVID-19 IT IS LETHAL! ☠ KILA MTANZANIA ACHUKUE TAHADHARI KWA KUFUATA KIKAMILIFU MASHARTI YA KUJIKINGA DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA COVID-19 KWANI VINAUA HARAKA SANA!☠⛑






Asalaam Aleykum Mwananzengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaita Bandari ya Salama au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Julai 26, 2020. Leo ni  Jumapili siku ya pumziko! Halikadhalika ni siku ambayo Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wanatoa heshima zao kwa Hayati MZEE WETU BENJAMIN WILLIAM MKAPA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU ALIYEFARIKI DUNIA JULAI 24, 2020! PUMZIKA KWA AMANI MZEE WETU BENJAMIN WILLIAM MKAPA!







 







FOR FURTHER INFORMATION AND BUSINESS ENQUIRIES PLEASE  CONTACT THE FOLLOWING MOBILE NUMBERS:
+255713415038/786948692/757224489
EMAIL: maezhabari@gmail.com


No comments