Ads

TANZANIAN SELECTED PRINT MEDIA PREVIEW OF JULY  27, 2020(MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA  YA LEO JUMATATU JULAI 27, 2020).  



SALAAM ZA RAMBIRAMBI ZAENDELEA KUPOKEWA KUTOKA NJE KUFUATIA KIFO CHA RAIS MSTAAFU AWAMU YA TATU HAYATI BENJAMIN WILLIAM MKAPA. JANA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAMEANZA KUMUAGA MZEE WETU UWANJA WA UHURU BAADA YA MISA MAALUM ILIOHUDHURIWA NA VIONGOZI WA KITAIFA WAKIONGOZWA NA RAIS JOHN MAGUFULI!






Asalaam Aleykum Mwananzengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaita Bandari ya Salama au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Julai 27, 2020. Leo ni  Jumatatu siku ya kazi!  Nakutakia  KAZI NJEMA !













 
 

FOR FURTHER INFORMATION AND BUSINESS ENQUIRIES PLEASE  CONTACT THE FOLLOWING MOBILE NUMBERS:
+255713415038/786948692/757224489
EMAIL: maezhabari@gmail.com


No comments